The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: MTOTO WA MASOGANGE AFUNGUKIA KIPAJI CHAKE/AMTAJA DIAMOND

 

Image result for MTOTO WA MASOGANGE

SANIA SHABAN mtoto wa marehemu Agnes Masogange ambaye alikuwa msanii wa muziki na mwigizaji, ameweka wazi kwamba anapenda kuimba na kuigiza na kwamba miongoni mwa waimbaji anaowakubali ni pamoja na Diamond Platnumz.

EXCLUSIVE: MTOTO wa Masogange Afungukia Kipaji Chake/Amtaja Diamond

Comments are closed.