The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Witness Kibonge Alivyoteseka Baada ya Mimba Yake Kuharibika

0
Witness na mpenzi wake, Ochu.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Witness aka Kibonge Mwepesi, aliyewahi kutingisha akiwa ndani ya Kundi la Wakilisha, sambamba na Sara Kais ‘Shaa’ na marehemu Langa, amefunguka jinsi alivyopitia kipindi kigumu kwenye maisha yake baada ya ujauzito wake kuharibika (miscarriage).

 

Witnesz anasema kwamba kutokana na ujauzito wake kuharibika, alijihisi kama ni mtu aliyetengwa sana, upweke ukamtawala na kusababisha awe anakula hovyo, jambo ambalo baadaye lilimsababishia kuongezeka sana uzito na kuwa kibonge.

 

Witnesz anaeleza kwamba baada ya kuteseka kwa ubonge kwa kipindi kirefu, aliamua kutumia mwili wake kama fursa ambapo alianza kujifunza kuhusu dawa za kupunguza uzito na kuufanya mwili kuwa mwepesi, biashara anayoifanya hadi hivi sasa.

MTAZAMAE KIBONGE AKIFUNGUKA

Leave A Reply