The House of Favourite Newspapers

Faiza Ajisifia Mwili Wake Kunawiri

Muigizaji wa Filamu za Kibongo, Faiza Ally.

MUIGIZAJI wa Filamu za Kibongo, Faiza Ally amejisifia kuwa kwa sasa mwili wake umenawiri kwa sababu hana stress za mapenzi wala za maisha.

Faiza akiwa kwenye pozi ndani ya Studio za Global TV Online.

Faiza aliiambia Full Shangwe kuwa, mwaka 2018 ameuanza vizuri akiwa hana stress zozote za mapenzi wala maisha kwa sababu amejikita katika biashara zake binafsi.

“Sina stress mwaka 2018, kama kuna mtu niliachana naye hilo lilishapita, kwa sasa ninafurahia maisha na mwili wangu unaona unazidi kunawiri zaidi ya kipindi cha nyuma cha mateso ya mapenzi,”alisema Faiza.

Comments are closed.