The House of Favourite Newspapers

FAT JOE AWAOMBA MAYWEATHER-50 CENT KUPATANA

Tokeo la picha la fat joe

Fat Joe

RAPA Mmarekani Fat Joe, amewaomba rapa 50 Cent na bondia  Floyd Mayweather kuacha bifu kati yao kwani ni “ndugu” na kwamba yeye hataki kuwa msuluhishi.

Mastaa hao wawili wamekuwa wakishutumiana kwa kuitana majina mabaya na kusingiziana mambo mbalimbali yaiwemo ya jinai, hivyo Fat Joe amewataka kupatakana haraka.Tokeo la picha la 50 cent and myweather

Mayweather (kushoto) na 50 Cent

Wakati huohuo, Fat Joe ametoa wimbo mpya uitwao “Attention” kwa kushirikiana na Chris Brown.

Comments are closed.