The House of Favourite Newspapers

Fella Amtosa Babu Tale

Said Fella

MLEZI wa wanamuziki na Meneja wa Msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ Said Fella, amelazimika kumtosa meneja mwenzake, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’, kisa futari.

Uamuziki huo, Fela aliufikia hivi karibuni alipokuwa Mahakama Kuu, wakati Tale akisubiria hatima ya kesi yake dhidi ya Shehe Mbonde ambapo anatakiwa kumlipa shehe huyo shilingi milioni 250, baada ya kuuza CD za mawadha yake.

Hata hivyo licha ya Fella, kumtosa Babu Tale, ndugu na jamaa wengine wa Babu Tale waliendelea kubaki mahakamani hapo wakisubiri hatima ya ndugu yao huyo

Richard Bukos

Comments are closed.