The House of Favourite Newspapers

FIESTA YA TIGO 2018 YAZINDULIWA, KUANZIA MOROGORO

Mtangazaji wa Clouds Entertainment ambaye ni Mratibu wa Tigo Fiesta mwaka huu, Gadner Habash (katikati) akitangaza uzinduzi wa tamasha hilo jana (Jumanne) ambalo litafanyika mikoa 15 ya Tanzania Bara likianzia mkoani Morogoro. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Masoko wa Tigo, William Mpinga, ambao ni wadhamini wa tamasha hilo,  kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata).
Mpinga akitangaza ofa ya mikoa itakayofanyika Fiesta kwa wateja Tigo.
Gadna akitangaza kaulimbiu ya Fiesta hilo ambayo ni “Vibe kama lote”.
Mapaparazi wakiwa kazini kwenye hafla hiyo.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL   

Comments are closed.