The House of Favourite Newspapers

DC Jokate Aungana Na Tamwa Kupinga Ukatili Kijinsia

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo,  akiongea jambo na wadau mbalimbali wa Tamwa.

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Jokate Mwegeleo, amesisitiza kwamba ukatili wa kijinsia hususan dhidi ya watoto na wanawake, ni lazima ukomeshwe.

Mwegelo aliyasema hayo leo kwenye kongamano lililotayarishwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.

Kongamano hilo limefanyika katika Shule ya Sekondari ya Minaki.

Wafanyakazi wa TAMWA wakiwa ofisini kwa Mwegelo.
Jokate akikabidhiwa zawadi ya khanga na Mkurugenzi wa TAMWA, Edda Sanga (kushoto).
Mwegelo akizungumza na Eda Sanga.
Mwegelo na wawakilishi wa TAMWA.
PIcha ya baadhi ya washiriki wa mkutano huo.

Shughuli zikiendelea ofisini kwa Mwegelo.

PICHA NA IMELDA MTEMA | GPL

Comments are closed.