The House of Favourite Newspapers

Yaliyojiri Bungeni Dodoma Leo Septemba 11

0

Kikao cha 5 cha Mkutano wa 8 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo kimeendelea mjini Dodoma ambapo Naibu Spika, Tulia Ackson amewaongoza wabunge katika shughuli zao za kawaida.

Hati zilizowakilishwa leo, ni za Wizara ya Katiba na Sheria ambapo mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda, umepitiwa upya. Mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini wa Bunge, ameliambia bunge kwamba kamati hiyo imeridhai mkataba huo pamoja na maboresho yake.

Leave A Reply