The House of Favourite Newspapers

JPM Afanya Maamuzi Magumu kwa Mawaziri Waliotajwa Ripoti za Madini

0

HAFLA fupi ya Rais John Magufuli kukabidhiwa Ripoti mbili za Kamati Maalum kuchunguza biashara ya madini ya Almasi na Tanzanite nchini imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambapo ripoti hizo zimekabidhiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Yaliyojiri kwenye hafla hiyo.

Mwenyekiti Kamati ya Kuchunguza Almasi na Tanzanite amesema Mkataba wa Tanzanite na STAMICO hauna tija kwa nchi, ni wa kinyonyaji. Amependekeza uvunjwe.

Leave A Reply