The House of Favourite Newspapers

FULL VIDEO: Shoo ya Mbosso, ‘The Voice of African Voice’ – VIDEO

Ni usiku wa kuamkia leo ilikuwa ni ‘The Night of African Voice’ ulioandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya Mwanamuziki kutoka WCB Wasafi, Mbosso Khan, ambapo kwa mara ya kwanza tangu asajiliwe katika lebo hiyo ndio amefanya shoo.

Usiku huo ulisindikizwa na mastaa kibao wa Bongo Fleva wakiwemo wasanii wote wa WCB, Dulla Makabila, Baraka The Prince, Enock Bella na wengine wengi.

Comments are closed.