Fuse ODG wa Ghana Aja na ‘African Girl’ – Video Mpya

 

MSANII Nana Richard Abiona maarufu kama ‘Fuse ODG‘ toka Ghana amekuja na video ya wimbo wake mpya wa ‘African Girl’ ambao amewashirikisha Kuami Eugen na Kidi.

 

Video imeongozwa na David Nicol-Sey

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Loading...

Toa comment