The House of Favourite Newspapers

G BWAY: DIAMOND ni Freemason, Siwezi Kwenda WASAFI – Video

 

WASANII wengi wanatamani kuwa chini ya usimamizi wa menejimenti nzuri na kubwa kama ya Wasafi kwa Tanzania ambayo ipo chini ya Msanii Diamond Platinumz.

 

Lakini imekuwa tofauti kwa msanii G Bway kutoka Arusha anaefanya vizuri hivi sasa na Wimbo wake wa Katikati amekataa kujiunga na WCB Wasafi kisa….!

 

VIDEO: MSIKIE G BWAY AKIFUNGUKA

Comments are closed.