The House of Favourite Newspapers

GARI LA MAFUNDI UMEME LAPATA AJALI, WATATU WAFARIKI

WATU watatu wanasadikiwa kupoteza maisha na wengine 30 kujeruhiwa katika ajali ya basi dogo lililokuwa limebeba mafundi wa mradi wa kuzalisha umeme Mto Kagera eneo la Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera, leo Jumanne, Aprili 2, 2019, majira ya asubuhi.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa katika Hospitali ya Murugwanza na Nyamiaga kwa matibabu zaidi.

Umeme huo a umeme unaojengwa na wakandarasi kutoka nchini China, utatumika nchini Tanzania, Rwanda na Burundi.

Comments are closed.