The House of Favourite Newspapers

Gari ya Bieber, Yaharibika Barabarani Akiwa na Baldwin

Bieber na Baldwin baada ya gari lao kuharibika.

WAKATI mapenzi kati ya mwanamuziki wa Canada,  Justin Bieber   na mwanamitindo na mtangazaji wa televisheni wa Marekani Hailey Baldwin,  yakipamba moto, majuzi gari aina ya Mercedes-Benz SLS waliyokuwa wamepanda wakielekea mahali pa kula baba huko Hampton, Marekani,  iliharibika ghafla na kuwabidi kuteremka kusubiri matengenezo.

Polisi walifika eneo hilo kuongoza magari kutokana na gari hilo kuharibikia njiani kabla ya mafundi kufika hapo pia na kulitengeneza.

Bei ya gari hilo ni Dola 200,000 (Sh. mil. 455).

Mmoja wa polisi waliofika eneo hilo.

 

Comments are closed.