The House of Favourite Newspapers

Janet Jackson, Aongoza Maziko ya Baba Yake Kifamilia

Image result for Janet Jackson, Extended Family Attend Funeral

MWANAMUZIKI nyota wa Marekani Janet Jackson,   jana (Jumatatu) aliongoza maziko ya baba yake,  Joe Jackson,  akiwa na ndugu wa familia hiyo katika ibada iliyofanyika Forest Lawn huko  Glendale, California,  ambako Michael Jackson  alizikwa pia.  Mzee  Jackson   alikufa Jumatano iliyopita kwa kansa ya kongosho.

Michael hakumwandikia urithi wowote baba yake huyo, bali aliwaachia watoto wake na mama yake, Katherine,  tu.

 

Comments are closed.