The House of Favourite Newspapers

Gazeti La Ijumaa Linavyobamba Mtaani

0
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Dereva wa pikipiki (bodaboda) wa Msasani alinunua Gazeti la Ijumaa lenye muonekano mpya.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mkazi wa Msasani jiji Dar, Haji Ally akinunua Gazeti la Ijumaa leo.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES
Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Mapinduzi Mwananyamala wakichangamkia Gazeti la Ijumaa lenye muonekano mpya.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Afisa Promosheni wa Kampuni ya Global Publishers, Jimmy Haroub akimueleza  muonekano mpya wa Gazeti la Ijumaa mmoja wa wasomaji maeneo ya Msasani.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mfanyabiashara wa mchele Soko la Mwananyamala, Kiswaga ditiri akiwa na Gazeti la Ijumaa.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
Wasomaji mbalimbali wakichangamkia Gazeti la Ijumaa lenye muonekano mpya.

WASOMAJI wa magazeti yanayochapwa na Kampuni ya Global Publishers wanazidi kuukubali muonekano mpya ulioboreshwa wa Gazeti la Ijumaa linalotoka kila Ijumaa.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wasomaji wa Makumbusho, Masaki, Mwananyamala, Tandale, Mabibo, Tabata, Ubungo na sehemu zingine za jiji la Dar, wamedai Gazeti la Ijumaa linazidi kuwabamba kila kukicha kutokana na kuwa na muonekano mpya wa kipekee, habari, picha na wingi wa hadithi mbalimbali.

“Nalikubali sana gazeti lenu la Ijumaa linabamba sana hata kama ulikuwa hauna mpango wa kununua, utanunua tu kwani linakuvutia kwa  makala, hadithi, simulizi, na habari kibao,”alisema Yusuph Mwizagi wa msasani jijini Dar.

Leave A Reply