The House of Favourite Newspapers

Giggy Money: Muziki na figa bwana

Giggy MoneyGiggy Money.

Hamida Hassan

Binti anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa muziki, Giggy Money anasema ukiwa na kipaji cha kuimba kisha ukawa umejaaliwa figa bomba kama alivyo yeye, lazima utusue.

“Si unaniona nilivyojaaliwa figa matata, sasa na hiki kipaji cha kuimba si lazima watakaa? Nimeingia kwenye game nimedhamiria, mtarajie ngoma baada ya ngoma,” anasema Giggy anayesumbua na wimbo wa Majojorijo.

Comments are closed.