The House of Favourite Newspapers

Global Group Kuadhimisha siku Ya Wazee Duniani

Oktoba Mosi kila mwaka ni siku maalum ya Kuadhimisha siku ya wazee Duniani kote ambapo kwa hapa nchini kitaifa yanafanyika mkoani Mtwara.


Global Group kwa Kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali Help Age International linaunga mkono jitihada za serikali za kuhakikisha wanapatiwa huduma zote za msingi na kauli mbiu ikisema “Tumiarishe Usawa kuelekea Maisha ya Uzeeni”

 

Comments are closed.