The House of Favourite Newspapers

GLOBAL HABARI: KUBENEA ASEMA HAYUPO TAYARI KUACHIA UBUNGE WAKE

GLOBAL HABARI:MBUNGE wa Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), Saed Kubenea amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa kuwa anataka kukihama chama hicho na kujiunga CCM, baada ya ‘kununuliwa’, amesema kamwe hatoshawishika kwa pesa kuhama chama hicho, na kwamba ataendelea kuwapigania wanachi wake akiwa ndani ya Chadema.

GLOBAL HABARI: KUBENEA ASEMA HAYUPO TAYARI KUACHIA UBUNGE WAKE

Comments are closed.