The House of Favourite Newspapers

Global TV Live: Tazama Moja kwa Moja Mapokezi ya Yanga Wakitokea Comoro

Gari la Yanga likiwasili Uwanjani hapo kwa ajili ya kuwapokea Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara.

Mwandishi wa Global Publishers, Musa Mateja akizungumza na mashabiki wa Yanga.

Mashabiki wakimiminika kwa ajili ya kuwapokea wachezaji wa Yanga.

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Save

Comments are closed.