The House of Favourite Newspapers

Gwajima: Wanaume Wengi Wanaugua Figo

0

Imelezwa kuwa wanaume wapo katika hatari kubwa ya kuugua Ugonjwa wa Figo unaotokana na Kisukari na Presha ukilinganisha na Wanawake.

 

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Dokta Dorothy Gwajima, alipotembelea hospitali ya rufaa ya kanda ya Mbeya.

 

Kwa Upandea wake Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dokta Godlove Mbwanji, ameeleza sababu hasa za Wanaume kuugua Ugonjwa wa figo kuliko wanawake.

Leave A Reply