The House of Favourite Newspapers

HALOTEL YATOA MSAADA WA MATENKI, MASHUKA KIGAMBONI

Naibu mkurugenzi wa Halotel, Nguyen Van Son (kushoto) akimkabidhi mashuka Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri (katikati) kulia ni mkurugenzi wa walaya hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri (wa kwanza kulia) akiangalia matenki yaliyotolewa na Kampuni ya Halotel.
Wakishikilia bango lenye ujumbe wa shukrani kutoka Halotel.
Baadhi ya matenki yaliyotolewa na Kampuni ya Halotel.

Comments are closed.