The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday JPM

magufulibest

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers; wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Championi tunakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mwenyezi Mungu amjalie rais wetu mpendwa afya njema, aishi miaka mingi zaidi na aiongoze nchi yetu kwa amani na mafanikio makubwa.

HAPPY BIRTHDAY JPM

Comments are closed.