LEO Novemba 29 ndiyo siku aliyozaliwa staa wa Bongo Fleva hapa nchini, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ au ‘KingKiba’.
Staa huyo anayekimbiza kwa ngoma yao kali aliyofanya na Ommy Dimpoz iitwayo Kajiandae ametupia picha yake katika akaunti yake ya Instagram na kujitakia heri ya kuzaliwa mashabiki wake nao waliungana naye kumpa pongezi na kumtakia mafanikio kwenye shughuli zake za muziki.
Tovuti hii inamtakia kila la heri KingKiba katika kazi zake za muziki.
Comments are closed.