The House of Favourite Newspapers

HATIMAYE CARDI B, OFFSET NDOA RASMI

KWA mara ya kwanza tangu wafunge ndoa ya siri mwaka jana, rapa wa kike anayetikisa kwenye muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Cardi B ameonesha pete yake ya uchumba aliyovalishwa na rapa mwenzake, Offset.

 

Wawili hao ambao wote wana miaka 26, wamefanikiwa kupata mtoto mmoja, lakini mwishoni mwa mwaka jana walizinguana kila mmoja akawa na maisha yake.

Juzi kati katika Tamasha la BelAir lililofanyika katika Sikukuu ya Valentine’s Day walionekana kurudiana huku Cardi B akianika pete yake ya uchumba.

LOS ANGELES, MAREKANI

VIDEO: Waziri wa JK Afunga Ndoa na Kabinti

Comments are closed.