The House of Favourite Newspapers

Hatimaye ‘MAHAKAMA’ Yaamua Diamond Amuoe Zari – Video

Wakati ngoma ya Mbongo Fleva, Diamond Platnumz ft Rayvanny inayoitwa Iyena ikiendelea kufanya vizuri huku ikiwa imeambatana na vituko lukuki vinavyohusisha familia yake akiwemo Mama yake mzazi, Dada yake Esma na wanawake zake, Zari, Wema na Hamisa Mobeto.

 

Global TV imeamua kutinga mtaani na kuzungumza na ‘Mahakama ya Wananchi’ ili wamalize utata kati ya Zari, Wema na Mobeto nani anastahili kuwa mke halali wa Diamond.

 

Asilimia kubwa ya mashabiki wameonekana kupenda zaidi, Zari aolewe na mwanamuziki huyo ambaye amezaa nae watoto wawili.

VIDEO: SHUHUDIA MAHAKAMA IKITOA MAAMUZI

Comments are closed.