The House of Favourite Newspapers

Helkopta Yafanikiwa Kupaa Sayari ya Mars

0

Ndege aina ya helkopta yafanikiwa kupaa juu katika sayari ya Mars. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Marekani wa shirika la anga za juu (NASA) wamesema hiyo ni moja ya hatua nzuri binadamu kuweza kurusha ndege isiyo na rubani ndani katika sayari nyingine ambapo satellite imethibitisha hilo kwa video.

 

 

Leave A Reply