The House of Favourite Newspapers

Hemedy Anazalisha tu Bila Ndoa!

BRAZAMENI kunako Bongo Muvi, Hemedy Suleiman ‘PHD’ amesema, hana mpango wa kufunga ndoa, badala yake ataendelea kuzalisha tu wanawake.

Akizungumza na Shusha Pumzi, Hemedy alisema, hadi sasa ana watoto watano na kila mmoja ana mama yake na anawatunza wanaye vizuri hivyo haoni sababu ya kuoa.

“Sifikirii kitu kinachoitwa ndoa kwa sababu Mungu amenijaalia watoto watano na wote natimiza mahitaji yao, kazi yangu ni kuzalisha tu, maisha yanaendelea,” alisema Hemedy.

Stori: Imelda Mtema

Comments are closed.