Hili Ndo Kosa la Uwoya

Mwanadashosti Mwenye mvuto wake kuna Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya, kwa mara ya kwanza amefunguka kosa kubwa alilolifanya kwenye maisha yake.

 

Uwoya aliliambia gazeti alipendalo la Ijumaa kuwa, huko nyuma alikuwa akimuamini kila mtu akijua ni watu wazuri kama alivyowachukulia na kuwaacha wawe karibu yake, jambo ambalo halikuwa sahihi.

 

“Hilo ndilo kosa kubwa ambalo nimelifanya katika maisha yangu kwa kuwaacha watu wakae karibu yangu kwa muda mrefu bila kujua wengine walikuwa ni nyoka,” alisema Uwoya.


Loading...

Toa comment