The House of Favourite Newspapers

HISTORIA: SAVIMBI Mpigania Uhuru Wa ANGOLA, Mwenye PHD Aliyezikwa Kama Mbwa – VIDEO

Dk. Jonas Malheiro Savimbi ni msomi wa Chuo Kikuu ngazi ya PHD aliyejitengenezea sifa mbaya zaidi Afrika kiasi cha baadhi ya watu kudai kuwa hakuutendea haki usomi wake.

Alifanya mambo mengi mabaya sana kwa nchi yake, aliua wananchi wasio na hatia nchini Angola kutokana na uasi wake kwa Serikali licha ya ukweli kwamba yeye alikuwa ni mmoja wa wapigania uhuru wa taifa hilo kutoka kwa Mreno.

Comments are closed.