The House of Favourite Newspapers

Hollystar Achora Tattoo Makalioni, Sister Fey Hoi! – BEAUTY & STYLES

Katika kipindi cha Beauty & Styles wiki hii tumefanya na Wanamuziki wa Bongo Fleva ambao pia ni Wanandoa waliojaa vituo na wanaopendwa sana hususani mitandaoni, hapa nawazungumzia Sister Fey na mumewe Hollystar. Fuatilia kipindi hiki uweze kwanza kuvunja mbavu zako, kuelimika, lakini pia kufahamu undani wa maisha anayoishi Sister Fey tangu afunge rasmi ndoa.

Comments are closed.