The House of Favourite Newspapers

Huh! eti kwa Naj, Baraka kafuata mapene

0

naj-2

Naj na Baraka

Msanii wa Bongo Fleva, Baraka de Prince kwa sasa kafa kaoza kwa msanii mwenzake Naj ila madai yaliyopo mtaani ni kwamba, mshikaji huyo kajiweka kwa Naj kwa kuwa demu ana mkwanja ile mbaya.

Inadaiwa Naj akimpenda mtu ni lazima atampata kutokana na jeuri ya pesa aliyonayo na ndiyo maana alipojilengesha kwa Baraka ikawa kama kumsukuma mlevi.

Akizungumzia madai kuwa kampenda Naj kwa sababu ya mapene, Baraka alisema: “Hayo ni maneno ya watu tu, sisi tunapendana kwa dhati na hayo madai kuwa nimempenda kwa sababu ya mapene siyo kweli.”

Leave A Reply