The House of Favourite Newspapers

Huu Ndiyo Mjengo Atakapohamia Rais Obama Baada ya Trump Kuapishwa

obama-mansion-washington-dc-3

JANUARI 2017, Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama ataondoka kwenye Ikulu ya nchi hiyo, White House na kuelekea kwenye makazi yake mapya huku akimuachia Donald Trump atakayekuwa ameshika dola.

obama-mansion-washington-dc-4Huu hapa mjengo aliyoukodi Obama kwa ajili ya kuishi yeye na familia yake mara baada ya kuondoka White House.

obama-mansion-washington-dc-5Mjengo huo ambao unamilikiwa na Joe Lockhart umejengwa mwaka 1928, una eneo la futi za mraba 8200 karibu na Washington DC ambao Obama ameukodi kwa gaharama ya dola milioni 5.3 sawa na bilioni 11,5 za Kitanzania.

obama-mansion-washington-dc-6Obama ataishi humo na familia yake mpaka pale ambapo mwanaye wa pili, Sasha atakapomaliza masomo ya High School.

obama-mansion-washington-dc

obama-mansion

Comments are closed.