The House of Favourite Newspapers

IDD MOSI: Young Dee, Young Killer Kukinukisha Dar Live

Leo siku ya IDD MOSI kuanzia saa 4:00 asubuhi kutakuwa na michezo ya watoto kwa kiingilio cha TSH 3,000/- na kuanzia saa 12 Jioni mpaka majogoo kutakuwa na Usiku wa Nani Atazima ambapo wasanii wa Bongo Young Killer na Young D watakinukisha.

Comments are closed.