The House of Favourite Newspapers

IGP Siro Afanya Ukaguzi Wa Miradi Ya Ujenzijijini DSM

0

Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Nyakoro Sirro  amefanya ziara rasmi katika Bohari kuu ya Polisi iliyopo Kilwa Road (Police Main Store) Chuo cha taaluma ya Polisi (Dar es salaam Police Academy).

 

Lengo Mahsusi la ukaguzi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini ni kukagua miradi ya ujenzi wa Bweni la Polisi chuo cha maafisa wa Polisi (Dar es salaam Police Academy), Jengo la kiwanda chakisasacha kushona nguo Bohari kuuna ujenzi wa jengo la Madarasa ya chuo cha utabibu Afya kuu.

Afande IJP amesema miradi hiyo inaendelea vizurisana na THAMANI yapesa inaonekana matumizi yake (Value for Money).Aidha Inspekta Jenerali ameeleza kuwa miradi yote hii Mh.Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania aliiwezesha ili Jeshi la Polisi lifanye lifanye kazi kwa weledi na kujitegemea.

 

Pia amewapongeza wakuu wa himaya ambao wanasimamia ujenzi huo na ujenzi umefikia mwishoni kabisa kukamilika.

Gharama za ujenzi wa mabweniya askari wanafunziMh. Rais John Pombe Joseph Magufulialitoa Milioni 700,Kiwanda cha ushonaji shilingi Milioni 600 na madarasa ya Chuo cha Utabibu kwa pesa za ndani zinazotolewa na Jeshi la Polisi.

Leave A Reply