The House of Favourite Newspapers

INASHANGAZA! Bajaj ya Makuti Yazua Gumzo, Haijawahi Kutokea – Video

MKAZI mmoja wa Arusha anayefahamika kwa jina la Masai amefanya ubunifu wa aina yake baada ya usafiri wake wa bajaj kuwekea paa la makuti ili kuonesha utofauti bajaj nyingine.

Masai anasema wakati anatengeneza bajaj hiyo watu wengi walimuulza ilikuaje mpaka akabuni bajaj ya makuti lakini hakukatishwa tamaa na maswali ya watu hao na waliomshangaa.

VIDEO: MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Comments are closed.