The House of Favourite Newspapers

Infinix HOT 6X IFANYE IWE YAKO KWA PUNGUZO LA ASILIMIA 50

KAMPUNI ya simu ya Infinix imekuletea aina mpya ya simu ikiwa ni muendelezo wa toleo la simu za HOT na safari hii ujio wa simu hiyo inayotambulika kama Infinix HOT 6X inakwenda sambamba na challenge ya mtandaoni inayofahamika kama #HOT6XChallenge na #HOT6X.

 

Jinsi ya kushiriki shindano hili na uwezo kujipatia simu hiyo ya kisasa bure yenye sifa lukuki kama vile kioo chenye upana wanchi 6.2 HD+ na teknolojia ya notch.

 

Kamera  yenye megapixel 13 +2 na flashi mbili nyuma pamoja na selfie matata yenye megapixel 8na flash, na uzuri zaidi kamera za Infinix HOT 6X zinatumia teknolojia ya Artificial intelligent inayosaidia kutambua aina ya kitu pindi tu unapokipiga picha.

 

 

Infinix HOT 6X nisimu yenye uwezo mkubwa wa kuprocess files kutokana na aina ya android inayofahamika kama android 8.1 ikisaidiana na processor ya Qualcomm snapdragon na ram ya GB 3.

 

Lakini pia Infinix HOT 6X inauwezo mkubwa wa kubeba files nyingi kutokana na uwezo wake wa kuhifadhi vitu unaofahamika kama memory ni GB 32.

 

Je, utawezaje kuifanya iwe ya ko bila ya kutumia pesa isiyo pungua laki 350000 zakitanzania? Cha kufanya ingia sasa katika account ya @infinixmobiletz repost picha au post picha ya #HOT6XChallenge kwenye account yako ya instagram, weka caption nzuri halafu hashtag  #HOT6XChallaenge na #HOT6X na tag @infinixmobiletz kasha tag marafiki zako walike post yako na uweze kuibuka mshindi wa Infinix HOT 6X na zawadi nyingine nyingi.

 

Kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa wetu wa instagram @infinixmobiletz.

https://www.instagram.com/p/BpJZtKNH_Cj/?hl=en&taken-by=infinixmobiletz.

 

 

Comments are closed.