The House of Favourite Newspapers

Jahazi, Zanzibar Stars Wafanya Makamuzi ya Aina Yake Dar Live

0
Mwimbaji wa Jahazi, Fatuma Kassim, akiongea na mashabiki zake (hawapo pichani) ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Fatuma Kassim (kushoto) akitunzwa na shabiki wake.
Mishi Zele wa Jahazi akifanya yake.
Mossy Suleiman wa Zanzibar Stars akiwadatisha mashabiki.
Maua Tego wa Zanzbar Stars akitoa burudani.

Mashabiki wa burudani usiku wa kuamkia leo walikonga nyoyo zao kwa burudani  ya muziki iliyoangushwa ndani ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem jijini Dar ambapomakundi ya taarab ya Jahazi, Zanzibar Stars, na Ogopa Kopa yalikuwa yakishindana kutoa burudani.

 

Sambamba na makundi hayo pia kulikuwa na burudani ya ngoma ya ‘kibao-kata’  na msanii Dullah Makabila ambaye alipata nafasi ya kuwachombeza mashabiki waliofurika ukumbini hapo.

Burudani hiyo ilirindima ukumbini hapo mpaka majogoo huku mashabiki wakila vinono na kupiga maji.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL 

Hii Ndiyo Tikisa Kiuno ya Mashauzi Classic

Leave A Reply