The House of Favourite Newspapers

Jamani Antiii…Nishushe Ununio-8

0

ILIPOISHIA KWENYE RISASI JUMAMOSI: “Unaweza kunitibu na mimi Jisu?” Vivian aliuliza na kumtazama tena usoni Jisu lakini pia akawa kama anayesikilizia jibu ambalo hakujua lingetokaje kwa wakati huo. Hata hivyo, kabla Jisu hajamjibu Vivian alimimina tena nyagi kwenye glasi na kuipiga yote kabla ya kumimina tena na kuiweka mezani bila kuinywa na hapohapo akanyanyuka kidogo na kukiweka sawa kiti chake ambapo sasa aligeukiana na Vivian, alimtazama usoni na wote wakawa wametazamana bila kupepesa macho na Jisu akapanua mdomo kama anayetaka kuuliza kitu kwa staili ya kipekee.

 

YUMBAYUMBA NAYO SASA… “NAWEZA ndiyo, ni sehemu ya kazi yangu pia na huwa najipatia kipato kikubwa sana kupitia tiba hiyo kwa wanawake wenye matatizo ya kutofurahia matendo,” alisema Jisu huku akikamata glasi na kujimiminia kwa kasi huku akikunja ndita, uchungu wa nyagi uliendelea kulipa kazi ya ziada koromeo lake. Vivian alikaa kimya kwa muda. Kabla hajasema lolote, alikamata chupa ya Reds na kujimiminia kama alivyofanya Jisu. Walikaa kimya kwa muda kabla ya kuendelea na mazungumzo. “Okey, sasa mimi nataka unitibu leoleo Jisu, maana nina mpango wa kuolewa hivi karibuni. Mimi sina tatizo hilo lakini nataka niwe nawahi kufika mapema, sawa Jisu?” “Sawa, lakini sasa kwa mtindo gani?”

 

“Kwa mtindo gani tena unaniuliza mimi? Wewe si ndiyo umesema ni fundi sasa fundi anamuuliza mteja tena ashoneje nguo yake?” “Sijamaanisha hivyo, nasema eneo na mazingira yanahitaji usiri mkubwa sana.” “Si ndani kwangu jamani Jisu.” “Sawa, lakini kwa kuwa tumeshaanza kulewa nashauri tufanye siku nyingine kama kesho hivi, tukiwa wazima wote,” Jisu alisema kwa mtego ingawa moyoni alishaanza kuitamani sana nafasi ya kuutawala mwili wa mrembo Vivian. “Hapana bwana, mimi nataka leoleo, nitakulipa vizuri Jisu, ile ya mlango na hii kazi utakayonifanyia sasa hivi, sawa baba?” Vivian sasa alishaanza kuchangamka na kuanza kumuita Jisu kwa jina la baba, jina ambalo Vivian hulitamka mara chache sana, tena hususan wakati anapokuwa amekunywa maji hayo matamu yenye ukavu wa kuvutia machoni.

 

“Mmmh,” Jisu alijibu badala ya kufafanua kama amekubali kumtibu Vivian au lah. “Unaguna nini sasa jamani?” “Hapana, najaribu kutafakari namna ambavyo nitakupa huduma na tiba bora zaidi,” alisema Jisu na kumtazama Vivian. “Kwa hiyo mimi natakiwa nifanyeje,?” Vivian aliuliza akiwa anajiweka sawa kifikra juu ya maelekezo ya Jisu na tiba yake, maneno yake yalikuwa yamemshawishi kwa kiwango cha juu sana. “Lakini si ni maelezo tu, hatufanyi kabisakabisa?” Vivian aliuliza na usoni hakuonesha aina yoyote ya masihara. “Kabisa, hatufanyi chochote, nakuheshimu sana Vivian,” alisema Jisu. “Lakini kuna sharti moja tu kubwa,” Jisu aliendelea kutoa dira na mwanga wa aina ya tiba yake. “Kipi tena Jisu, mbona unaanza kunitisha mwenzio?” “Wala usitishike, kwa yeyote aliyedhamiria wala hawezi kuona ugumu wowote.” “Haya, ni lipi hilo?”

 

“Ni lazima uvue nguo zote ili uwe huru wakati nakupa maelekezo.” “Okey, hilo tu?” “Ndiyo.” “Lakini…,” Vivian alikomea hapo na kunyamaza kisha kumtazama tena Jisu na kuendelea… “Hutawaambia watu?” “Juu ya nini?” “Kwamba ulishaniona nilivyo?” “Halafu iweje?” “Basi tu, nimeuliza maana nyie wanaume mnaongoza sana kuwatangazia wanawake mliowahi kushiriki na kuwaona maumbile yao ya ndani, tabia ambayo hakika huwa siipendi na siyo nzuri hata kidogo,” alisema Vivian na kuchukua tena chupa yake ya mwisho na kuifungua kwa meno kabla hajaigida kwa mbwembwe za ulevi. Kifupi ni kwamba wote wawili walishaanza kuzidiwa na ulevi, ingawa walibaki wanajitambua kwa mbali. “Haya, twende sasa nikutibu ili niwahi kwenda kupumzika,” alisema Jisu huku akifunga vizuri chupa ya nyagi iliyokuwa imesalia. “Mbona humalizii hiyo nyagi?”

 

“Siwezi kumaliza mzinga wote, hii nitamalizia kesho, kwa sasa naomba nikutibu niwahi kutoka,” Jisu alitoa ufafanuzi huo na kuinuka akiwa ameishika chupa ya nyagi kwa mkono wa kushoto huku akiigongagonga kwenye kitako chake. “Sawa,” Vivian alijibu na kuamka, ambapo alianza kuingiza ndani kitu kimojakimoja, tofauti kabisa na awali ambapo alivibeba vyote kwa pamoja. Alimaliza kuingiza ndani na kumkaribisha Fundi Jisu ndani ili watimize tiba yao. “Karibu sana na ujisikie amani na upendo wote wa moyo,” Vivian alisema na kumtazama Jisu usoni.

 

“Asante, lakini sitaki tukae sana. Nakupa tu maelezo ya utangulizi na kesho nitakuja kumalizia,” alisema Jisu. “Nasubiri maelekezo yako,” Vivian alisema na kumkodolea tena macho Jisu. Hakuwa na aibu kabisa kwani Reds imeshaondoa kila kitu ubongoni mwake. “Sasa ondoa basi hizo nguo.” “Sawa,” Vivian aliitikia na kuanza kuondoa viwalo taratibu na kwa mbali alianza kujihisi hali isiyokuwa ya kawaida mwilini mwake. Alianza kuhisi msisimko wa ajabu mno. Vivian alibaki kama alivyokuja duniani. Kiunoni akiwa amezungukwa na kamba tatu zilizobeba vigolori vidogovidogo. “Sasa nenda kitandani, mimi nakuja ingawa sitavua chochote,” Jisu alisema na kuanza kupiga
hatua akielekea kitandani.

 

“Lala chali,” Jisu aliendelea kutoa maelekezo ambayo mwisho wa siku Vivian alishindwa kabisa kuvumilia. Jisu alikuwa akimuelekeza kufanya mambo ambayo yalikuwa yakimsisimua kupita maelezo. Ikafika mahali, Vivian akamfuata Jisu mwenyewe na kumwambia wafanye kweli, maana hakukuwa na haja ya kutumia maji ya moto kuondoa hali hiyo wakati aliyeisababisha alikuwepo tena wote wakiwa wamechangamka kisawasawa. “Jisu,” aliita Vivian. “Mmm,” Jisu aliitika kwa ule mtindo wa kuguna huku naye akianza kuzidiwa na hisia. Umbo la Vivian lilikuwa matata sana. “Usimwambie yeyote” “Sawa.”

 

“Nitunzie siri yangu tafadhali, hapa mtaani naheshimika mno na ninafahamika kwa kuwa na nyodo kwa vijana wengi kama wewe lakini sasa mazingira yetu ya leo yametufikisha huku ambako siwezi tena kujizuia, tafadhali sana nakuomba,” Vivian alisema kwa sauti ya kunong’ona, lakini maneno yote yalisikika vyema sana masikioni mwa Jisu ambaye naye kwa wakati huo alikuwa akihema kama aliyetoka kukimbia mbio ndefu zisizokuwa na medali wala tuzo yoyote. “Sawa,” Jisu aliitikia na kushuhudia mikono laini ya Vivian ikimpapasa mabegani na kabla hajahamaki kufanya chochote, alishtukia vidole vya Vivian vikivifuata vifungo vya shati kwa kasi ya ajabu na kuanza kuviachanisha na yale matundu ya kufungia.

 

“Fuuuu,” Jisu alihema kama ng’ombe aliyemaliza kunywa maji mengi. Ikafika mahali, wote wakadhamiria mioyoni kwamba wamalizie safari ndefu ambayo ilianzia kwenye kutengeneza mlango. Jisu aliamua kutumia uwezo na ufundi wake wote kumuonesha Vivian kwamba hakupaswa kuwa na dharau au nyodo kwa watu asiowajua. Waliandaana na Jisu alimshughulikia Vivian kwa kugusa maeneo ambayo siyo tu kwamba hakuwahi kuguswa na mwanaume yeyote, bali hakuwa akijua kama huwa yanakamatwa. Vivian alianza kuangua kilio cha kweli na kuanza kuropoka maneno ambayo kama kungekuwa na mpita njia ilikuwa ni lazima asitishe kwanza safari yake ili aifaidi vyema sauti hiyo ya kilio kitamu cha Vivian. Baada ya kuandaana kwa muda mrefu, waliingia uwanjani. Jisu alimbeba Vivian na kumsimamisha.

 

Akamkazia macho na kumpa madoido ambayo hakuwahi kukutana nayo. Mwanzoni ilikuwa ni kidogo Vivian acheke kutokana na kuoneshwa staili ambayo hakuwahi kuoneshwa hata siku moja tangu aanze kujishughulisha na masuala ya mapenzi. Mechi ilianza. Jisu akawa anatembelea kila kona ya makazi ya Vivian, ambaye kwa wakati huo alikuwa akihangaika na kutoa miguno mingi yenye kuhamasisha sana. Ili kuepuka kumchosha sana, Jisu aliamua kubadilisha mapozi ya usakataji wa kabumbu. Sasa akamsogeza karibu na dimba la kawaida, kwa maana ya kitanda lakini hakumruhusu kabisa ajimwaye kwa juu. Alimpa maelekezo ya kuinama na kushika kuta za kitanda na kubinuka mfano wa kumbikumbi aliyejinyonyoa manyoya.

 

Fundi akasimama kwa nyuma na kuinama kidogo na hapohapo akaanzisha mpambano upya ambapo awali hii alianza kwa sehemu ya juu, chini kabla hajazitembelea kona za pembeni, ikafika mahali Vivian akasema kwa sauti ya juu kabisa kwamba hayuko tayari kuendelea na mahusiano na Bigambo wala mtu yeyote, sasa makazi yake kimapenzi ameyahamishia kwa Jisu, mwanaume ambaye aliweza mambo kwa kiwango cha ajabu sana.

 

Wakiwa katikati ya mdundo, Vivian akijiandaa kupasua dafu lake la tatu, mara mlango uligongwa na mgongaji hakutumia ustaarabu kwani ilikuwa kwa sauti kubwa hali iliyowafanya wote wasitishe zoezi lao huku Vivian akisonya na kulaumu sana mgongaji, akanyanyuka kwa nguvu na kujitanda khanga kabla hajampa taulo Jisu, akauendela mlango na kuufungua kwa hasira kali, lakini macho yake yalipokutana na mtu aliyekuwa akigonga, Vivian alinywea na kubaki mdogo kama kidonge cha piriton. Je, ni nani huyo? nini kitafuata? Usikose kufuatilia katika Risasi Jumamosi. 0673 42 38 45.

Na Irene Mwamfupe.

FULL Stori ipo hapa

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

Leave A Reply