The House of Favourite Newspapers

Je! Unataka Kusoma Chuo Nje Ya Nchi? Bonyeza Hapa

Mkurugenzi wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel.

KAMPUNI ya Global Education Link  inaendelea kupokea wanafunzi waliokosa udahili wa vyuo ndani ya nchi na wenye sifa au wanaohitaji kwenda kusoma nje ya nchi katika kozi mbalimbali.

 

Mkurugenzi wa Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel amesema milango ya udahili  kwa vyuo vya nje ipo kuanzia mwezi Julai, Agosti, Septemba, Oktoba na Novemba kwa nchi kama kwa nchi ya China, Ukrane, Urusi Kozi za Afya, Kozi za Engineering, Kozi za biashara na Kozi za Arts na nyinginezo nyingi kupitia Global Education Link watakutafutia chuo, kukutafutia visa, kukupokea nje na kukufuatilia kipindi chote ukiwa chuoni.

 

Wasiliana nao kwa namba hizi 0656 200200 | 0677 600100 website yao www.gel.co.tz

Comments are closed.