The House of Favourite Newspapers

ads

Je, Wewe ni Daktari au Muuguzi? Jiongezee Kipato cha Ziada Kupitia ChapRide

0

 

Je, wewe ni daktari au muuguzi na unavyo vigezo vilivyoelekezwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Ungana na Chapride Tanzania uweze kujitengezea kipato halali cha ziada hadi 2,000,000/=Tsh kwa mwezi kwa kutoa huduma ya afya katika muda wako wa ziada.

Kujiunga, tuma CV na leseni ya udaktari au uuguzi pamoja na nakala (copy) ya kitambulisho cha taifa/ kura kwenye email ifuatayo: [email protected]

Kwa maelezo zaidi
Piga simu:+255768885056.

Leave A Reply