The House of Favourite Newspapers

Jenerali Wa Jeshi Aliyeiongoza Marekani Kumng’oa Saddam Hussein-Video

0

Colin Powell amefariki dunia Oktoba 18, 2021 akiwa na umri wa miaka 84 kwa kile ambacho familia yake imeeleza kuwa ni maambukizi ya Virusi vya Corona.

 

Powell ni miongoni mwa Wamarekani weusi wa kwanza kuaminiwa na na serikali ya Marekani na kupata nafasi ya kuitumikia serikali na jeshi kwa miaka mingi, akishika nyadhifa mbalimbali za juu, kuanzia mshauri wa rais kuhusu masuala ya kijeshi, Mkuu wa Majeshi hadi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje.

Leave A Reply