LIKIONGOZWA na Mrakibu Msaidizi Puyo Mzalayaimisi, Jeshi la Zimamoto limefanya ziara leo katika ofisi za Global Publishers kwa lengo la kujenga uhusiano mzuri na Global Publishers pia kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu habari.
Aidha jeshi hilo kupitia mkuu wa msafara, limeupongeza uongozi wa Global Publisher kwa kazi kubwa ya kuipasha habari jamii na kuielimisha pia.
Picha Na Mussa Mateja
Comments are closed.