The House of Favourite Newspapers

Jezi za Timu ya Majimaji Zamwagwa Songea

0
Mashabiki wakiendelea kununua jezi za timu ya Majimaji asubuhi ya leo Songea.
Muonekano wa jezi ya Majimaji kwa karibu.
Mhariri wa Championi Ijumaa, Jonh Joseph akiwa katinga jezi ya timu ya Majimaji asubuhio ya leo.

PRESHA ya mchezo wa Majimaji dhidi ya Yanga ni kubwa leo mjini Songea ambapo mashabiki wa timu ya majimaji wanaendelea kununua jezi za timu yao kwa kasi asubuhi ya leo nje ya Uwanja wa Uwanja wa Majimaji.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL – SONGEA

Leave A Reply