The House of Favourite Newspapers

JIJI LA DAR SHWARI SIKUKUU YA MUUNGANO

Hali ilivyokuwa katika moja ya mitaa ya kitongoji cha Magomeni Mapipa.
Sehemu ya maduka ya Manzese ilivyokutwa na kamera yetu.
Watu waliofurika Mtaa wa Kongo, Kariakoo katika ‘mishemishe’ za kila siku.
Makutano ya Barabara za Uhuru na Msimbazi yalivyokutwa na mpigapicha wetu.
Baadhi ya wateja walifika Mtaa wa Mchikichi,  Kariakoo,  kupata mahitaji yao.
Huu ni mtaa wa Kinondoni Kisiwani.
Hii ni barabara ya Shekilango.

 

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam leo waliungana na Watanzania wengine wa Bara na Visiwani katika kusherehekea miaka 54 ya Muungano ambapo sherehe za kitaifa zilifanyika jijini Dodoma.

 

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.