The House of Favourite Newspapers

Jiko la Mkaa Laua Mama na Wanae Wawili, Baba Hoi – Video

0


Watu watatu wa Familia Moja akiwemo mama na watoto wake wawili wakazi wa Kitongoji cha Nyambale, Kijiji cha Busanda na Kata ya Busanda wilaya na Mkoa wa Geita wamefariki dunia baada ya kusadikika kuvuta hewa ya inayotokana na moshi wa mkaa.

 

Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea baada ya wanafamilia hao kulala ndani huku jiko la mkaa walilokua wamewasha kwa ajili ya kupikia maharage likiendelea kuwaka hali iliyosababisha moshi mwingi kujaa ndani na kushindwa kutoka hivyo wakakosa hewa na kufariki dunia.

Leave A Reply