Jipatie Vitafunwa Kwa Bei Poa, Karibuni Sana

Kwa maitaji ya vitafunwa: sambusa, donati, maandazi, karanga na vingi vingine wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa Instagram kwa jina la @twinsister2018, namba ya simu ni 0711615540.

Bei zetu ni nzuri, kwa wanaohitaji nawakaribisha sana. Naomba fursa ya kuwahudumia, hamtajuta. Wateja kwangu ni wafalme na malkia. Karibuni sana. Tunapatikana Kimara mwisho jijini Dar.

Toa comment