The House of Favourite Newspapers

Infinix Waja na Ofa Kabambee, Ukinunua Simu 2 Unapewa King’amuzi buree!

0
Afisa uhusiano wa Infinix Aisha Karupa akizungumza na wanahabari.
Uzinduzi wa jishindie king’amuzi na INFINIX HOT LIVE PROMOTION umezinduliwa kwa kishindo huku wateja wakijipatia simu mpya ya INFINIX HOT 10 kwa bei ya shilingi 350000 tu.
Akizungumza wakati wakati wa uzinduzi huo Afisa uhusiano wa Infinix, Aisha Karupa amesema kuwa promotion hiyo ambayo itadumu kwa wiki mbili ambayo ni tarehe 15 hadi 30 mteja ambaye atanunua simu mbili atajishindia Kinga’amuzi.
Mmoja wa wateja aliyefika duka la Infinix akioneshwa simu inavyofanya kazi.
“Uzinduzi wa simu mpya ya Infinix HOT 10 kwa sasa Infinix imekuja na promotion ya Infinix TUPO LIVE, kupitia promotion hii unaweza kujipatia zawadi mbalimbali kama vile King’amuzi, Brenda, headphone speakers na zamadi nyengine nyingi pindi utembeleapo maduka yote ya simu nchini Tanzania yenye promotion.
“Baadhi ya maduka yenye promotion yametajwa kwa Dar es Salaam Infinix Smart Hub Mlimani City na Kariakoo, Ram 4, Animol 1, Jumbo na mengineyo kwa  Mikoani tunapatikana Arusha Summit Centre, Nena Shop kwa Mwanza ni Tuzo Mobile na Luis shop.
Wateja wakiendelea kuoneshwa simu aina ya Infini HOT 10.
“Promotion hii ya TUPO LIVE itadumu kwa muda wa week mbili ilianza rasmi tarehe 15/10 na tutaitimisha tarehe 30/10/2020. Karibuni sana katika maduka yetu yote ya simu mjipatie Infinix HOT 10 toleo jipya kabisa lenye sifa lukuki kama vile; Processor aina ya MediaTek Helio G70, battery yenye ujazo wa 5200mAh, kamera zenye megapixel 16+2+2+QVGA kwa megapixel 8 selfie, memory yenye GB 64+GB 3RAM, kioo cha nchi 6.78 na teknolojia ya DTS Audio” amesema Aisha.
Leave A Reply