The House of Favourite Newspapers
gunners X

JK Atoa Mifuko 300 ya Sementi Ujenzi wa Zahanati

Mbunge wa Chalinze (CCM), Rihiwani Kikwete (kulia) akizungumza wakati wa kupokea misaada hiyo. Pembeni yake ni Rais Mstaafu ambaye pia ni baba yake mzazi, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete pamoja na wananchi wengine.

 

Rais Mstaafu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia mbunge wa zamani wa Jimbo la Chalinze na Mkewe Mama Salma Kikwete wametoa mchango wa mifuko 300 ya sementi itakayofanikisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kwakonje na nyumba ya walimu.

Mzee Kikwete akishiriki ujenzi wa zahanati hiyo.

 

Rihiwani Kikwete akikagua eneo inapojengwa zahati hiyo.

 

 

Mama Salma Kikwete akishiriki katika ujenzi huo.

VIDEO: UNDANI Kuhusu Mtanzania Aliyeuawa Afrika Kusini

Comments are closed.