The House of Favourite Newspapers

Johari Aikimbia Dar

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, ameamua kulikimbia Jiji la Dar kwa muda ambapo kwa sasa atakuwa anafanyia kazi zake mikoani.

 

Aki-zun-gumza na Over Ze Wee-kend, Johari alifun-guka kuwa, amejic-himbia mikoani kwa sababu kwa sasa sanaa inaonekana kukua zaidi mikoani na kumuingizia fedha kuliko kuendelea kufanyia jijini Dar.

 

“Ni kweli muda mwingi ninazunguka mikoani kwa ajili ya kazi. Unajua mikoani sanaa kwa sasa ndiyo inakua kwa kasi na kwa mtu anayejielewa, anaweza kutumia soko hilo kupata pesa kuliko kuendelea kung’ang’ania Dar,” alisema Johari.

NA NEEMA ADRIAN

Comments are closed.